Rating starRating starRating starRating starRating star

Tunakuza Uchumi wa Kidijitali Tanzania

Mifumo yetu imeundwa mahususi kwa ajili ya mazingira na changamoto za Kitanzania.

20+

Wateja Walioridhika

40+

Mifumo ya POS

30M+

Watumiaji wa Mtandao TZ

35%

Ongezeko la Mauzo

99.9%

Muda wa Hewani

Sisi ni zaidi ya wabunifu wa tovuti; sisi ni washirika wako katika kukuza biashara.

Suluhisho Kamili za Kidijitali kwa Biashara

E-commerce Platforms

Uza bidhaa au huduma mtandaoni kwa kuunganishwa na Tigo Pesa na M-Pesa.

Mifumo ya Real Estate

Panga nyumba na viwanja, dhibiti madalali, na pata wateja nchini kote.

Mifumo ya Showroom za Magari

Onyesha magari yako, dhibiti stoo, na unganika na wanunuzi wa kweli.

Orderly (Mfumo wa Migahawa)

Oda za mtandaoni, POS, na usimamizi wa meza kwa migahawa ya kisasa.

Hosting na Email

Hosting ya haraka na barua pepe za kitaalamu kwa jina la biashara yako.

Masoko na SEO

Inua tovuti yako kwenye Google (SEO) na pata wateja wapya kila siku.

Picha za Bidhaa

Picha zenye mvuto zinazoongeza imani ya mteja na kuchochea mauzo.

Mifumo Maalum (Custom)

Mifumo ya Laravel iliyoundwa kulingana na mahitaji yako mahususi.

Mfumo mmoja. Kila zana unayohitaji kuwashinda washindani wako.

Kila Kitu Unachohitaji Ili Kufanikiwa Mtandaoni

Imeundwa kwa TZ

Malipo ya Mitandao ya Simu

Pokea pesa kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, na Kadi (Visa/Mastercard).

  • Integrations zote za simu
  • STK Push
  • Malipo salama
  • Selcom/Pesapal ready
Fikisha Mzigo

Usimamizi wa Usafirishaji

Unganisha tovuti yako na huduma za usafirishaji nchini.

  • Track oda
  • Kanda za usafirishaji
  • Gharama za usafiri
  • SMS za mteja
Onekana Kwanza

Utawala wa Google.co.tz

Tokea ukurasa wa kwanza wa Google pale watu wanapotafuta huduma zako.

  • Local SEO
  • Swahili SEO
  • Mobile Optimization
  • Speed
  • Google Maps
Biashara Salama

Ulinzi na Usalama

Tunajenga mifumo isiyopenyeka na kulinda data za wateja wako.

  • SSL Security
  • Backups za kila siku
  • Ulinzi wa Cloudflare
  • Encryption
Njia Zote

Muunganisho wa Social Media

Badili followers wako wa Instagram kuwa wateja wa tovuti yako.

  • WhatsApp Automation
  • Instagram Shop Sync
  • Facebook Pixel
  • TikTok Integration
Hata kwa Simu

Kasi ya Ajabu

Tovuti inafunguka haraka hata kama mteja ana MB chache.

  • Low data mode
  • Image optimization
  • Fast servers
  • Global CDN
Hatukuachi

Msaada wa Karibu 24/7

Timu yetu ya kiufundi ipo tayari kukusaidia wakati wowote.

  • Live Chat
  • WhatsApp support
  • Mafunzo ya mfumo
  • Maintenance
Anza Kidogo, Kua Sana

Kua Bila Kikomo

Mfumo wako utakua kadiri biashara yako inavyoongezeka.

  • Multi-branch
  • Unlimited products
  • Custom APIs
  • Business Automation
Image NewsLetter
Newsletter

Subscribe our newsletter

By clicking the button, you are agreeing with our Term & Conditions

Your experience on this site will be improved by allowing cookies Cookie Policy